Offline
FURSA YA KUTOA MATANGAZO YA BIASHARA
By GOLDEN CHANCE FM
Published on 07/24/2025 10:45
News

Kwa miaka mingi ya kusubiri sasa ndo ule wakati ambao tuliusubiria, Kituo cha Golden Chance Fm kinawatangazia watu wote wanaopenda kuifanya biashara yao inafika mbali  kuwa sasa Kituo hicho kitaanza kupokea matangazo ya Biashara, Ambapo kwa siku za hivi Karibuni itakuwa inatoa Ofa ya matangaza kwa kiasi cha Elfu 50 kwa miezi mitatu, na baada ya hapo Mteja atatakiwa kuongeza mkataba rasmi mala baada ya kutamani kuendelea Kufanya Matangazo hayo. 

IMetolewa na Mkurugenzi Mkuu 

wa Golden Chance Fm

Mhe: ELIKANA FELIX BATONA

Comments
Comment sent successfully!