Offline
RADIO YA GOLDEN CHANCE YAFUNGULIWA RASMI
By GOLDEN CHANCE FM
Published on 07/22/2025 03:56
News

Mkurugenzi Mkuu na Mwenyekiti wa Kituo cha Golden Chance Fm, Mhe: Elikana Felix Batona Amesema kuwa katika kuhakikisha Dunia inapata Fursa ya Kusikiliza neno la Mungu na Kuendeleza Biashara zake, Kituocha Golden Chance Fm, KImefunguliwa Rasmi ili kutoa Fursa kwa Watumishi wa Mungu na Wafanya Biashara kuweza kutangaza huduma zao na Biashara ya, Lakini pia Mhe: Elikana Ameongeza kwa kusema kuwa kituo hiki kitawasaidia watu wengi kuweza kufikia ndoto zao maana gharama zake zitakuwa Rafiki kwa kila Mtu kuweza kuzimudu hivyo Amewakaribisha wote amabao wanatamani kuja kutambulisha hudma zao na Biashara zao.

Comments
Comment sent successfully!